Unaambiwa Aziz Ki Bado Ana Nafasi ya Kurejea Yanga, Mchongo Upo Hivi

Unaambiwa Aziz Ki Bado Ana Nafasi ya Kurejea Yanga, Mchongo Upo Hivi



Unaambiwa Aziz Ki Bado Ana Nafasi ya Kurejea Yanga✍️

Aziz Ki alijiunga na Wydad kwa mkopo mfupi wenye kipengele cha kununuliwa mazima kabla ya tarehe 10/07/2025.

Makubaliano ya Yanga na Wydad ni kulipwa pesa ya usajili wa Aziz (signing fee) ya Tsh 1.7b kabla ya tarehe 10/07/2025 lah sivyo Aziz atarejea nchini.

Wydad na Aziz walihitajiana sana kuelekea FIFA Club world Cup hivyo ikabidi kiwekwe kipengele cha kulipa pesa hiyo kabla ya tarehe 10 endapo watalidhika na kiwango chake.

Kisheria Aziz bado ni mchezaji wa Yanga ndiyo maana bado hajaondoa “Profile Picture” ya Yanga kwenye Instagram yake,unless Wydad wamalizane na Yanga kabla ya july 10.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad