Mchumbuzi Nasri Khalfan; Simba Kwa Sasa Wamempata Kocha, Wasimuache



Ameandika Mchambuzi Nasri Khalfan;

Kwa Simba wote hapa mna Kocha wa kujivunia 🙌🏼 haihitaji ata mechi 10 kujua kama Fadlu Davis ni Kocha wamaana

Cha kukumbuka msimu uliopita ndio mlianza ujenzi mpya wa Simba na mpaka sasa Fadlu amewaonesha mwanga kilicho baki ni kum sapoti tuu kwa kumuongezea zaidi quality ya kikosi

Kwa kikosi hiki amefika final michuano ya Caf, nusu final FA na nafasi ya pili Ligi Kuu.. Vp muki muongezea quality zaidi?

Mechi mbili zilizo amua hatma ya Simba kupata makombe dhidi ya Berkabe na Yanga zote Simba walizidiwa quality sio uwezo wa kocha

Simba msapotini huyu kuna mahala ata wafikisha, mukimtoa maana yake mtaanza tena upya 🙌🏼
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad