Fei Toto Atoa List ya Wachezaji Hatari Ligi Kuu Bara, Ajiweka na Yeye


Feisal Salum anasema Mchezaji mwenye matumizi bora ya Mguu wa Kushoto ni Mohamed Hussein (Simba), Mchezaji bora matumizi Mguu wa kulia ni yeye Feisal Salum (Azam FC), Mmaliziaji bora amemtaja Prince Dube (Young Africans), Mchezaji mwenye Ufundi ni Pacome Zouzoua (Young Africans), Mchezaji mwenye chenga zaidi ni Pacome Zouzoua (Young Africans) na Mchezaji mwenye IQ kubwa ya mpira ni Khalid Aucho (Young Africans)

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad