Tuzo Zinampenda na Kumfuata Jean Charles Ahoua, MVP Yanukia....



𝐓𝐔𝐙𝐎 𝐙𝐈𝐍𝐀𝐌𝐅𝐔𝐀𝐓𝐀 𝐀𝐇𝐎𝐔𝐀

✅Msimu uliopita Jean Charles Ahoua akiwa na Stella Club de Abidjan alifanikiwa kupachika mabao (12) huku akitoa pasi (9) za usaidizi wa mabao akuhusika kwenye mabao (21).

✅Mpaka sasa ndani ya Simba Ahoua amehusika kwenye jumla ya mabao (22) baada ya kufunga mabao (15) na kutoa pasi za usaidizi wa mabao (7).

✅Ukitazama takwimu za Ahoua hadi sasa ana asilimia kubwa ya kuwa MVP wa Ligi kuu ya NBC 2024/25 pamoja na kuwa Mfungaji bora.

𝗡𝗕: 𝗔𝗵𝗼𝘂𝗮 𝗮𝗹𝗶𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗠𝗩𝗣 𝗮𝗸𝗶𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝗦𝘁𝗲𝗹𝗹𝗮 𝗖𝗹𝘂𝗯 𝗻𝗮 𝗸𝘂𝗻𝗮 𝗸𝗶𝗹𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗶𝗹𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗠𝗩𝗣 𝗮𝗸𝗶𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝗦𝗶𝗺𝗯𝗮 𝗦𝗖 𝗺𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗵𝘂𝘂..



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad