Dickson Job Mkataba Unaisha Yanga, Timu Hizi Zinamtaka....


Taarifa zinathibitisha Kuwa Nahodha msaidizi wa Yanga Dickson Job amewatoa wasiwasi mabosi wa Klabu ya Yanga kuwa hana mpango wa kuondoka Yanga kwa sasa licha ya mkataba wake kumalizika mwishoni mwa msimu huu.

Vilabu vya Azam Fc , Simba SC Vimeshaanza kuulizia saini ya kumtaka Dickson Job kuelekea msimu ujao,Lakini kwa upande wa management ya Mchezaji imewapa nafasi ya kwanza klabu yake ya sasa ya Yanga kuweza kumalizana naye kama watamuhitaji kuendelea naye.

Taarifa njema kutoka kamati ya utendaji ndani ya Yanga, uko katika mazungumzo na Uongozi wa Dickson Job siku za hizi karibuni kwa ajili ya kufanikisha mchakato huu mapema kabla ya msimu kumalizika.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad