Tangu 2021 na hii ni 2025 Yangasc bado awajakata tamaa juu ya Julien Chevalier ikumbukwe kabla ya ujio wa Nasreddine Nabi chaguo la kwanza lilikua Julien Chevalier
Mpaka sasa mazungumzo yanakwenda vizuri na muda wowote Yangasc watamtangaza kama kocha wao mpya wa msimu wa mashindano 2025/26.
Swali. je kuhusu Rhulani Mokwena?
Ukweli chaguo la kwanza lilikua ni kwa Rhulani Mokwena lakini kutokana na dau ambalo alikuwa anahitaji Yangasc wameamua kurudi nyuma na kuongeza jitihada kwa Julien Chevalier.