Mobile

Zimbwe na Kapombe Maisha Ndani ya Simba Yanakaribia Kufika Tamati




Taarifa Kutoka Ndani ya Klabu ya Simba zinaeleza kwamba Klabu hiyo imepanga Kuachana na Mabeki wao wa Pembeni , Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' Pamoja na Shomari Kapombe Kwasababu zilizo Nje ya Uwanja.

Hadi sasa Taarifa Kutoka kwenye vyanzo vya Kuaminika Zinadai kuwa nyota hao kuna Asilimia Kubwa kutokuwepo Msimu Ujao ndani ya Simba SC
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad