Ngoma Fabrice Aaga Rasmi Klabu ya Simba

Ngoma Fabrice Aaga Rasmi Klabu ya Simba


Ngoma Fabrice Aaga Rasmi Klabu ya Simba

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Fabrice ameandika ujumbe wa kuaga na kutoa shukrani kwa uongozi, benchi la ufundi, wachezaji pamoja na mashabiki wa klabu hiyo, akieleza kuwa licha ya changamoto walizokutana nazo, ataendelea kuzikumbuka kumbukumbu nzuri alizozipata akiwa ndani ya kikosi hicho cha Msimbazi.

Katika ujumbe wake, Fabrice ameandika:

"Good morning all. I wanted to take this time to thanks everyone who made me feel at home here in Simba. Thanks to Mr Salum Try Aagain and Boss MO who bring me here 2 seasons ago. Thanks to the coach, the staff, the players with whom we shared the dressing room together. We couldn't reach some of our objectives but all the memories will remain forever in my mind and my heart. To you Simba fans thank you for your support. Never let down the club better times lie ahead especially with a coach like Fadlu. Merci beaucoup et bonne continuation. #nguvumoja"

Ngoma anawaaga Wanasimba huku akielezea matumaini yake kuwa klabu hiyo itapata mafanikio makubwa zaidi chini ya kocha Fadlu Davids.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad