Wasipo Angalia Magoli PACOME Ana Nafasi Kubwa ya Kuwa MVP Ligi Kuu NBC


"Pacome namuona pia ana nafasi ya kuwa MVP,hii huenda ikamsaidia kama hawatoangalia namba,kuna wakati Bangala alishinda tuzo hiyo na hakuwa na mabao mengi hivyo kuwa na mabao mengi sio kigezi kikubwa cha kuwa MVP

"Lakini bado hauwezi kumuweka kando Ahoua na umuhimu wake japo wengi wanazungumzia hata aina ya mabao yake anayofunga,wengine wanasema huwa anafunga kwa penati,hata hii vita ya MVP bado ni mapema sana hata hivyo"- Zuberi Mkalaboko !

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad