Sakho Atajwa Kurejea Ligi Kuu Tanzania 2025 - 2026

 

Sakho Atajwa Kurejea Ligi Kuu Tanzania 2025 - 2026

Sakho atajwa kurejea ligi kuu 2025 - 2026

Vilabu vya ligi kuu Tanzania bara Azam FC pamoja na Singida Black stars vinahusishwa kumsajili mchezaji wazama wa Klabu Simba Pape Ousmane Sakho.

Taarifa zinaeleza Azam Fc wameonyesha kumuhitaji zaidi mchezaji huyo baada ya kuachana na Gibril Sillah Azam wanatafuta mbadara wa Gribrill Sillah . Je? Pape Sakho ni mbadara sahihi wa Gibril Sillah.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad