Mobile

Nani Ataibuka MVP Ligi Kuu Msimu Huu ?

Nani Ataibuka MVP Ligi Kuu Msimu Huu ?



Imesalia michezo mitano [5] kwa klabu ya Yanga kutamatisha safari ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 huku ikihitaji alama zote 15 ili ijihakikishie ubingwa wa Ligi msimu huu.

Klabu ya Simba imesalia na michezo nane [8] hadi hivi sasa huku ikiomba walau Yanga itoe sare kwenye mchezo wake mmoja wapo lakini wao washinde mechi zote nane ili wawe mabingwa wa Ligi.

Vita nyingine ni ya mchezaji bora wa msimu, nani ataibuka MVP wa msimu huu 2024/25 _________

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad