Stephanie Aziz Ki baada ya kujiunga na Wydad Casabalanca kwa Mkataba wa Miaka Miwiili (2).
Mshahara wake kwa Mwezi Dollar 40,000 Kwa mwezi (Tsh 🇹🇿 Million 107
Ada ya Usajili Dollar 300,000 (Tsh 🇹🇿 Million 809 Kwa Mwaka wa Kwanza na Dollar 350,000 (Tsh 🇹🇿Million 944 Kwa Mwaka wa Pili
Ada ya Uhamisho ambayo Yanga Africa wamelipwa na Wydad Casablanca ni Dollar Million 1 (Tsh 🇹🇿 Billion 2.6)
NOTE; Hakuna hata mtu mmoja alituambia Kwamba MVP wetu wa 2023/2024 alipewa Mkataba wa Miezi 3 ya Kujitolea Kwanza ili wakivutiwa nae ndo wamsajili .Kuna Kitu umejifunza hapa?
Hizi ndo nyakati tunapaswa Kumpa heshima ya Juu mnoo Simon Msuva ambaye aliwahi kucheza Wydad, huwa tunafikiri ni rahisi sana ,Lakini mwezi mmoja tu Aziz Ki anahusishwa na Kurejea tena Tanzania.