Simba Wanaendelea Kuburudika na Kiwango Kizuri cha Elie Mpanzu Ndani ya Uwanja..

Simba Wanaendelea Kuburudika na Kiwango Kizuri cha Elie Mpanzu Ndani ya Uwanja..


Elie Mpanzu Kibisawala mpira unamtii/mpira unamuheshimu sana.

Leo kawa na kiwango kikubwa na kizuri mbele ya Pamba Jiji.

Ni mchezaji aliyechezewa madhambi mengi.

Alikua bora katika kupandisha vyema mashambulii na kuwapa wakati mgumu walinzi wa Pamba Jiji akiwa na mpira ana utulivu na ufundi.

Kacheza dakika zote 90 kwa ubora bila kuchoka wala kufanya makosa akiwa na mpira.

Simba SC wanaendelea kuburudika na kunufaika na kiwango kizuri cha Elie Mpanzu ndani ya uwanja.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad