Kadinali wa Marekani Robert Francis Prevost ametangazwa kuwa Papa Mpya na atajulikana kama Papa Leo XIV.
Imekuwa muda mrefu tangu kuwe na papa mwenye jina hili: Leo wa mwisho, Leo XIII, alichaguliwa mwaka wa 1878 na alihudumu hadi kifo chake mwaka wa 1903.