Afisa Habari wa Yanga Washtukia Mchezo Mchafu wa Al Merrikh , Sisi Tumesoma CUBA

Afisa Habari wa Yanga Washtukia Mchezo Mchafu wa Al Merrikh , Sisi Tumesoma CUBA

 Afisa Habari wa Yanga Washtukia Mchezo Mchafu wa Al Merrikh , Sisi Tumesoma CUBA

 Afisa Habari wa Yanga, Alikamwe amedai kuwa wapinzani wao Al Merrikh wameanza kuwasifu kuwa Wananchi wanaogopeka Afrika wao wamesoma Cuba wanajua huo ni Mtego

"Tumesikia kauli za Kocha wa Al-Merrikh anasema kuwa Young Africans inaogopeka Afrika. Sisi tumesoma Cuba, tunamwelewa, hawezi kutuchota, tutauchukulia mchezo wetu wa pili kwa umakini mkubwa.

Amesema pia anakuja kufunguka hapa, kwetu sisi ni taarifa njema kwa sababu mnara haukusoma Rwanda, hivyo tukipishana nao itakuwa fursa ya kusimamisha mnara"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.