Maskini Paul Pogba Atokwa na Machozi ya Damu Baada ya Kuumia Tena, Atoka nje ya Uwanja

Paul Pogba

The 2-0 win of Juventus against Cremonese for date 35 of Serie A in Italy was marred by the early departure of Paul Pogbawho left the field of play in tears 23 minutes into the first half with signs of pain in the back of his left leg after sending a ball into the area.


Immediately, the doctors of the Turin team jumped onto the pitch to attend to the French midfielder, who returned to ownership after more than a year. His last game among his 11 had been on April 19, 2022. Pogba could not hide the discomfort in his leg and covered his face regretting what had happened. He then covered his face with his shirt and went to the locker room. In his place, the Pole Arkadiusz Milik entered.


In the midst of the desolation of the unfortunate French footballer, who had been suffering from severe knee injuries that sidelined him from the Qatar 2022 World Cup, his Juve teammates made great gestures with him to encourage him. First it was the Colombian Juan Guillermo Cuadrado who hugged him, followed by the coach Massimiliano Allegri who patted him on the back and the last one who gave him his love was Ángel Di María. noodle He was on the substitutes’ bench and took the opportunity to accompany Pogba to the locker room.

---------

Nyota wa Juventus Paul Pogba alijikuta akiangusha machozi baada ya kupata jeraha lililomlazimisha kutoka nje wakati mchezo wao dhidi ya Cremonense ukiendelea.


Kiungo huyo wa Ufaransa amejikuta kwenye wakati mgumu huko Juventus baada ya kujiunga tena na waajiri wake wa zamani. Paul Pogba amehusika kwenye mechi kumi pekee katika michuano yote tangu arejee kutoka Manchester United kutokana na matatizo ya majeraha.


Pogba alionekana kuwa fiti alipoanza katika pambano la Serie A dhidi ya Cremonese kwenye Uwanja wa Allianz. Hata hivyo, mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa alipata jeraha lingine baada ya dakika 24 tu na ikabidi atolewe nje na meneja wa Juventus Massimiliano Allegri.


Kiungo huyo mwenye miaka 30 aligubikwa na machozi wakati akitoka uwanjani na kutumia jezi yake kufunika uso huku nafasi yake ikichukuliwa na Arkadiusz Milik.


Pogba huenda asionekane tena msimu huu, wakati Juve wamebakiwa na mechi tatu za Serie A pamoja na ratiba ya Ligi ya Europa.


Pogba atalazimika kuelekeza nguvu zake kwenye kurejea katika utimamu kamili wa mwili kwa wakati kwa ya ajili ya msimu wa mwaka 2023-24.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.