Baada ya mkataba wake kufika ukingoni Mudathiri Yahaya ameweka ngumu kuongeza mkataba mpya ndani ya Yangasc huku akiweka wazi mahitaji yake ambayo anataka yatimizwe
Uongozi wa Yangasc ulikuwa tayari kumpatia signing on fee milioni 100 na mshahara wa milioni 10 kwa mwezi mkataba utakao dumu kwa mwaka moja
Muda yeye anahitaji kiasi cha shilingi milioni 150 na mshahara wa milioni 15 ambayo Simbasc wameonyesha nia ya kutaka kumtimidhia mahitaji hayo
Kama Yangasc watashindwa kufikia pale ambapo anataka Mudathiri Yahaya basi msimu ujao wenda tukamuona ndani ya Simbasc.