Afisa habari wa timu ya Simba Ahmed Ally anasema wameamua kuachana na beki wa kushoto Valentin
Nouma kutokana na kiwango chake kuwa chini.
''Bado hatujatoa ripoti ya ni wachezaji gani ambao tumewaacha ila kutokana na wao tayari wameaga kwenye mitandao yao ya kijamii hatuna budi kusema,
Kuna wachezzji wengine wameondoka mikataba yao kumalizika na wengine wameondoka kwasababu hatujarizishwa na viwango vyao,
Valentin Nouma hatuijarizishwa na kiwango chake na tumeamua kumuacha,
Tunahitaji Beki ambaye anauwezo wa kuja kumsaidia Mohamed Hussein ambaye ni mchezaji mwenye kiwango bora kwenye kikosi ca Simba sc.'' Ahmed
WEWE UNA MAONI GANI?