MO DOUMBIA: Nipe passi mbovu nikupe ICE CREAM ya Maziwa. Nimetoka kumwangalia huyu jamaa, nagundua Scotting ya Yanga inafanya kazi.
Kila wanapotupa jicho basi kuna dhahabu wameiona. Doumbia anatisha, kwanza hapendi na hana sifa ya kupiga square na back passes, never.
Mtaalamu wa long balls, direct pass, pia anafanya body movement kila eneo la uwanja, silaha kubwa kwake ni kupiga mawe, yani nje ya 18 kwake kama penalti, anatandika sio kawaida.
Stamina ya maana, uwezo wa kupunguza, pia skills anazo anazo kidogo, ana turns flani hivi noma. Anaweza kucheza 10, 8