Klabu ya Yanga SC 🇹🇿 imekamilisha malipo yote ya uhamisho wa kiungo wa ulinzi Balla Moussa Conté (23) 🇬🇳 kutoka CS Sfaxien 🇹🇳
Yanga SC imeshinda vita kali dhidi ya Simba SC 🇹🇿 iliyokuwa ikihitaji saini ya kiungo huyo, na mpaka sasa Conté ni mali ya Wananchi.