𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗙𝗘𝗥 𝗡𝗘𝗪𝗦 : LUAMBA NGOMA➡️ AZAM FC
Klabu ya AZAM FC wameonesha kuhitaji huduma ya kiungo wa kati FABRICE LUAMBA NGOMA ambapo Kocha ibenge amependekeza jina lake .
AZAM FC wanajipanga kuwasilisha OFA kwenye uongozi wa mchezaji kuona kama kuna uwezekano wa kupata huduma yake.