Yanga Wagoma Kucheza Fainali CRDB Hadi Walipwe Pesa zao

 

Yanga Wagoma Kucheza Fainali CRDB Hadi Walipwe Pesa zao

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe kwenye mkutano wake na waandishi wa Habari uliofanyika leo Juni 9, 2025 katika makao makuu ya klabu hiyo amesema kuwa klabu hiyo haitacheza fainali ya Kombe la CRDB hadi pale watakapolipwa fedha za ubingwa wa Kombe hilo kwa msimu uliopita.


“Tumeshaandika sana barua tunazungushwa tu, Sasa nimesikia wanatangaza kuwa fainali itachelewa Zanzibar tuwaambie kuwa hata hiyo fainali hatuchezi mpaka tulipwe fedha zetu za ubingwa uliopita,” amesema Kamwe.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad