Simba Nao Walianzisha Wataka Ripoti Kwanini Mchezo Ulihairishwa

 



Simba Nao Wazinduka, Waomba Majibu ya Ripoti ya Uchuguzi Kuhairishwa Simba na Yanga

SIMBA PIA WAOMBA MAJIBU YA RIPOTI YA UCHUNGUZI.

Simba imetoa Taatifa kwa umma asaubuhi hii kwanza ikitambua mchezo namba 184 mchezo wa Derby ya kariakoo Simba na Yanga kua uko pale pale.

Pia wameomba kupata ripoti ya uchunguzi ya mechi iliyo ghailishwa March 8.

Note: Mnyama anaanza kukabia Juu na yeye anaona asikae kinyonge.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad