Msemaji wa klabu ya Simba Ahmed ally kupitia ukurasa wake wa instragram ameandika
“Msipotangaza Uwanja wa mechi, Bodi ya Ligi itatangaza
Msipotangaza Viingilio, Bodi ya Ligi itatangaza na sisi tutanunua
Msipofanya Promotions, Azam Tv watafanya na wameshaaanza kufanya
Msipokodi Uwanja, Bodi ya Ligi itakodi na ila Gharama za Uwanja mtalipa nyie.
Kanuni zinaipa nguvu bodi ya Ligi kufanya yote hata kama mwenyeji wa mechi anadema demaa
Mashabiki wenu wakisusa, wetu watakuja na tayari Mashabiki wetu zaidi ya Elfu 10 walishanunua Tiketi
Wanetu mmekalia moto… !!!”