Mchezaji wa timu ya Yanga Stephane Aziz Ki ndie mchezaji mwenye Hattrick nyingi kuliko wote wanaocheza ligi kuu hivi sasa
Akiwa amefunga Hattrick mara nne tokea amekuja Tanzania
Hakuna mchezaji aliyefunga Hattrick nyingi kumzidi Aziz Ki tokea amekuja Tanzania licha ya kuwepo kwa washambuliaji bora bado Aziz anashikilia rekodi ya Hattrick nyingi
Hattrick vs Kagera sugar
Hattrick vs Prisons
Hattrick vs Azam
Hattrick vs Kmc
NB: King of hattrick kwenye Ligi kuu kwa misimu mitatu hattrick nne na kila msimu amefunga hattrick moja msimu uliopita ndio alifunga hattrick mbili