Taarifa zinaeleza kuwa Simba SC ipo tayari kusikiliza ofa yoyote kuanzia USD million 1 sawa na Tsh Billion 2.5 Kwa ajili ya kumuuza mshambuliaji wao Lionel Ateba raia wa Cameroon.
Hii imefichuka baada ya kuwepo na Tetesi kuwa klabu ya Al-Okhdood Club ya nchini Saudi Arabia inaitaka saini ya mchezaji huyo aliyehusika kwenye zaidi ya mabao 8 msimu huu.