Huyu Hapa Mchezaji Pekee Yanga Anayefurahia Uwepo wa Kocha Folz



Aziz Andabwile Mwambalasa ametufungia mjadala wa urejeo wa Aucho, Yanga. Taarifa za Aucho zimeanza kupotea pole pole kama donge la barafu linavyoyeyuka katika ndoo ya maji. Bwamdogo amekuwa na kiwango bora sana msimu huu. Miongoni mwa watu wanaofurahia uwepo wa Folz katika korido za Jangwani ni huyu Andabwile. Chini yake Aziz amepata hadi nafasi ya kurudi Taifa Stars.

Abdul Mkeyenge ✍️…..

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad