DEAL DONE :Mkataba uliopo mezani kwa Romuald Rakotondrabe kutoka Yanga SC ni Miaka miwili
Pia uongozi wa Yanga SC upo tayari kufuata taratibu kumalizana na Madagascar wenye mkataba wa miaka miwili na kocha huyo
Kwa mujibu wa chanzo Jumatano kocha anapaswa kuwepo Tanzania