Inaelezwa Klabu ya Simba Sc imeitumia ofa kubwa klabu ya Maniema Union ambayo ameichezea Max Nzengeli kabla ya kutua Young Africans Sc.
Klabu ya Simba imepanga kumnunua moja kwa moja Max Nzegeli ifikapo dirisha kubwa la usajili, ambapo mpaka sasa klabu ya Yanga haijamaliza fedha zote kwakua ilimchukua Max Nzengeli kwa mkopo tu.