Msuva kimya Kimya ameilazimsha Tanzania kumuheshimu...Anawatungua Magoli huko nje usipime
Hivi sasa ndiye mchezaji active (anacheza bado timu ya Taifa) ambaye ana michezo mingi kwenye historia ya muda wote ya Taifa Stars ..
Erasto Nyoni___Michezo 107 (1st)
Mrisho Ngassa___Michezo 100 (2nd)
Kelvin Yondani___Michezo 97 (3rd)
SIMON MSUVA___Michezo 94 (4th)
Pia ndiye mfungaji bora wa muda wote kihistoria kwa wachezaji ambao bado ni regular na active kuitwa Stars...
Mrisho Ngassa___25⚽️ (1st)
Simon Msuva__23⚽️ (2nd)
Mbwana Samatta__22⚽️ (3rd)