Klabu ya Azam FC imetolewa katika Raundi ya awali ya Kufuzu Michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 mara baada ya kupokea kichapo cha jumla ya mabao 2-1 dhidi ya APR.
FT: APR 2-0 Azam
Aggregate: 2-1.
APR watakutana na kina Klabu ya Pyramids ya nchini Misri hatua inayofuata ya mtoano.
Una lipi la kuwashauri Azam?
#CAFCL