Mshambuliaji wa Simba SC, Steven Mukwala na kiungo wa Yanga SC, Khalid Aucho wameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa Uganda.
Nyota hao wameitwa kwa ajili ya michezo ya kutafuta nafasi ya kufuzu Mataifa Afrika dhidi ya timu za Afrika Kusini na Congo Brazzaville.
Kikosi hicho kina nyota Isima Watenga, Nafian Alionzi, Charles Lukwago, Golden Arro, Elvis Bwomono, James Begisa, Isaac Muleme, Viktoria Zizk.
Joseph Ochaya, Abdu Aziizi Kayondo, Bevis Mugabi, Elio Capradossi, Halidi Lwaliwa na Arnold Odongo.
Timothy Awany, Kenneth Semakula, Aucho, Bobosi Byaruhanga, Joel Sserunjogi, Ronald Ssekiganda, Travis Mutyaba.
Wengine ni Saidi Mayanja, Denis Omedi, Jude Ssemugabi, Joackiam Ojera,Al Mokawlool, Rogers Mato, Muhammad Shaban,Steven Mukwala, Calvin Kabuye na Allan Okello.