TETESI: Mchezaji Clatous CHAMA Amesaini Mkataba wa Mwaka Mmoja Yanga, AHMED Ally Afunguka Kwa Uchungu


TETESI: Mchezaji Clatous CHAMA Amesaini Mkataba wa Mwaka Mmoja Yanga, AHMED Ally Afunguka Kwa Uchungu


TETESI: Klabu ya Yanga imeripotiwa kumsainisha kiungo Clatous Chota Chama mkataba wa mwaka mmoja baada ya mkataba wa nyota huyo raia wa Zambia kunako Simba Sc kufikia ukomo.

Aidha, Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally kupitia Insta Live amethibitisha kuwa Chama Hana mkataba na Wekundu hao wa Msimbazi huku akiweka wazi kuwa hana uhakika kama ameongeza mkataba mpya au ataondoka.

“Kuanzia Jumatatu tutapata 'status' halisi ya Mwamba wa Lusaka ikitokea anabaki itakuwa kwa maslahi mapana ya Simba na ikitokea anaondoka itakuwa kwa maslahi mapana ya Simba" — @ahmedally_

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.