Usajili: Azam Waacha Wachezaji Wanne Kwa Mpigo...Hawa Hapa


Usajili: Azam Waacha Wachezaji Wanne Kwa Mpigo...Hawa Hapa

Klabu ya soka ya Azam, imetangaza kuwapa mkono wa kwaheri wachezaji wanne na kuwatakia kila la kheri kwenye safari yao ya soka.

Wachezaji hao ambao wamepewa ‘thank you’ leo ni Ayoub Lyanga, Edward Manyama, Malickou Ndoye na Issa Ndala.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.