Haji Manara Ampa Jonas Mkude Maua yake "Walikuita Mlevi Kukudhalilisha"


Haji Manara Ampa Jonas Mkude Maua yake "Walikuita Mlevi Kukudhalilisha"

Kwa Perfomance yake ya jana ukiulizwa Mkude na Viongozi wa Madunduka nani Mlevi utajibu nini ?

Alibakia kwa dakika zote tisini katika eneo lake hakusogea kuwahi Rebound wala hakwenda kupiga pasi za mwisho,hata hakuhangaika kwenda kufanya tackling pembeni,alibakia katikati ya Uwanja na ni yeye ndio alishepu team jana.

He is the purely holding midfielder anaecheza ligi ya Tanzania,Anaitwa Jonas Gerald Bugati Mkude, waliomwita mlevi ili kumdalilisha ndio hao hao wanasajili Magalasa.

Mkude nilikwambia huku Yanga kuna raha, unaona sasa heshma unayopewa ? Kule walikuchukulia poa ,nataka consistency sasa uwaprove wrong Vizabizabina.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.