Kila la Heri Mfungaji Bora wa Muda Wote Ligi Kuu Tanzania Bara John Bocco


Kila la Heri Mfungaji Bora wa Muda Wote Ligi Kuu Tanzania Bara

Ni mfungaji bora wa muda wote wa ligi kuu Tanzania bara akiwa na magoli mengi zaidi ya 160 plus.

Ndio Captain bora zaidi kuwahi kutokea tangu nchi hii iumbwe kwa ngazi ya Vilabu Tanzania.

Ndio mchezaji mzawa mwenye nidhamu zaidi kuliko wachezaji wote hapa Tanzania 🇹🇿.

Ndio mchezaji bora mzawa mwenye tuzo nyingi za uchezaji bora hapa nchini Tanzania.

Kila la kheri kaka yangu kwangu mimi nitabakia kukuheshimu na kuthamini kile ambacho umekiacha kama alama kwenye soka la mpira wa Taifa hili.

Simba sc na Boko wamefikia makubaliano ya kuachana anaweza kubakia kama sehemu ya uongozi ndani ya kikosi cha Simba lakini sio mchezaji.

Hakuna marefu yasiyo na ncha kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.