Rekodi za Medeama Vs Rekodi za Yanga

Rekodi za Medeama Vs Rekodi za Yanga

 Rekodi za Medeama Vs Rekodi za Yanga

Ijumaa hii ya Desemba 8, 2023 Yanga itakuwa na kibarua mbele ya ndugu zake na Hafiz Konkoni, Medeama FC katika mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa nchini Ghana.


Hapa nimekuletea takwimu za Medeama dhidi ya Yanga msimu huu kwenye michezo ya kimataifa na ligi zao za ndani.


Tuanze na Medeama FC


CAF Champions League Preliminary round: Medeama 1 - 0 Remo Stars Remo Stars 1 - 0 Medeama Penati (2 - 3)


Second preliminary round : Medeama 3 - 1 Horoya Horoya 2 - 1 Medeama Aggregate (3 - 4)


Group stage: Al-Ahly 3 - 0 Medeama ›› Novemba 25, 2023 Medeama 2 - 1 CR Belouizdad ›› Desemba 1, 2023


Ligi Kuu ya Ghana: ◉ Medeama 2 - 2 Accra Lions ◉ Aduana stars 2 - 0 Medeama ◉ Bechem 1 - 2 Medeama ◉ Dreams 2 - 1 Medeama ◉ Medeama 1 - 0 Nations ◉ Medeama 1 - 0 Samartex ◉ Hearts of Oak 3 - 1 Medeama ◉ Legon cities 0 - 2 Medeama ›› Novemba 5 ◉ Medeama 1 - 0 Nsoatreman ›› Novemba 9 ◉ Medeama 0 - 1 Barekum ›› Novemba 12 ◉ Kotoko 1 - 0 Medeama ›› Novemba 19


Ghana ligi yao ina timu (18) 1. Mechi 13 alama 24 — Aduana stars 2. Mechi 13 alama 24 — Nsoatreman 3. Mechi 13 alama 23 — Samartex 4. Mechi 13 alama 20 — Nations 5. Mechi 13 alama 20 — Bechem united 6. Mechi 13 alama 20 — Berekum 7. Mechi 13 alama 19 — Asante Kotoko 8. Mechi 13 alama 16 — Hearts of Oak 9. Mechi 11 alama 16 — Medeama


◉ Ushindi - 5 ◉ Kupoteza - 5 ◉ Sare - 1 ◉ Mabao ya kufunga - 11 ◉ Mabao ya kufungwa -12


Tuwatazame Wananchi Yanga


CAF Champions League Preliminary round: ASAS FC 0 - 2 Yanga Yanga 5 - 1 ASAS FC Aggregate (7 - 1)


Second preliminary round : Al-Merrikh 0 - 2 Horoya Yanga 1 - 2 Al-Merrik Aggregate (3 - 0)


Group stage: Belouizdad 3 - 0 Yanga ›› Novemba 25, 2023 Yanga 1 - 1 Al-Ahly ›› Desemba 2, 2023


Ligi Kuu ya Tanzania: ◉ Yanga 5 - 0 KMC ◉ Yanga 5 - 0 JKT ◉ Yanga 1 - 0 Namungo ◉ Ihefu 2 - 1 Yanga (loose) ◉ Geita 0 - 3 Yanga ◉ Yanga 3 - 1 Azam ◉ Yanga 2 - 1 Singida FG ◉ Simba SC 1 - 5 Yanga ›› Novemba 5 ◉ Coastal 0 - 1 Yanga ›› Novemba 8


Msimamo wa Ligi 1. Yanga - Mechi 09 alama 24 2. Azam FC - Mechi 10 alama 22 3. Simba SC - Mechi 8 alama 19 4. Singida FG - Mechi 12 alama 19 5. KMC - Mechi 11 alama 19 6. JKT Tanzania - Mechi 12 alama 16 7. Tabora United - Mechi 11 alama 15 8. Dodoma Jiji - Mechi 12 alama 15 9. Namungo - Mechi 12 alama 14


◉ Ushindi - 8 ◉ Kupoteza - 1 ◉ Sare - 0 ◉ Mabao ya kufunga - 26 ◉ Mabao ya kufungwa -5.


Ikumbukwe kuwa, Yanga wanahitaji ushindi ili kujiweka sawa kwenye kundi. Swali ni je, watatoboa?Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.