Mlinzi wa Klabu ya Simba Henock Inonga na mshambuliaji wa klabu hiyo Kibu Denis wametozwa faini Laki Tano kwa makosa kwenye ushangiliaji kwenye mechi ya derby dhidi ya Yanga ,mechi waliyofungwa magoli 5-1 .
Kibu alishangilia kwa kuwaziba mdomo mashabiki wa Yanga,Inonga alishangilia mbele ya benchi la Yanga