Mchezaji Aucho Afungiwa Mechi Tatu na Kulipa Faini ya Sh Laki Tano

Mchezaji Aucho Afungiwa Mechi Tatu na Kulipa Faini ya Sh Laki Tano


 Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemfungia michezo mitatu (3) na faini ya shilingi 500,000 (Laki tano) Mchezaji wa Yanga SC, Khalid Aucho kwa kosa la kupiga kiwiko Mchezaji wa Coastal Union, Ibrahim Ajibu kwenye mchezo wa NBC Premier League uliozikutanisha Coastal Union na Yanga SC.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.