Timu ya Yanga Yaingia Tano Bora Tuzo za CAF


Timu ya Yanga Yaingia Tano Bora Tuzo za CAF
Yanga SC imeingia hatua ya tano bora katika kinyang'anyiro cha Tuzo ya Klabu Bora ya Mwaka 2023 baada ya mchujo uliyofanywa na kamati ya Tuzo za Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF).

Awali klabu zilizotajwa kwenye kipengele hicho zilikuwa kumi, sasa wananchi watashindana na USM Alger ya Algeria, Al Ahly ya Misri, Wydad AC ya Morocco na Mamelodi Sundowns ya kutoka Afrika Kusini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.