Wakati simba ikiendelea na Mchakato wa kutafuta Kocha Mpya, Klabu hiyo inatarajia kuendelea kumuacha mchezaji wao wa zamani na kocha wao wa zamani msaidi Seleman Matola kuwa kocha msaidizi wa klabu hiyo.
Ikumbukwe kwa misimu tofauti matola alikuwa kocha msaidizi katika Klabu hiyo na baadaye alipelekwa kwenye timu ya vijana.