Matokeo ya Yanga Vs Coastal Union Leo Tarehe 8 November 2023 Ligi Kuu

Matokeo ya Yanga Vs Coastal Union Leo Tarehe 8 November 2023 Ligi Kuu

Matokeo ya Yanga Vs Coastal Union Leo Tarehe 8 November 2023 Ligi Kuu

Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Timu ya Yanga wanashuka Dimbani muda mchache kutoka sasa katika Uwanja wa CCM Mkwakwani Jijini Tanga kukipiga na wenyeji Coastal Union.

Mchezo huo wa raundi ya Tisa Ligi Kuu ya NBC unawakutanisha Vinara wa Ligi wakiwa na alama zao 21 baada ya michezo 8, huku Coastal wakiwa na alama zao 7 pekee katika nafasi ya 13 baada ya michezo 8

Yanga wanahitaji alama tatu kwa nguvu zote ili kuweka pengo la alama baina yake na Azam FC

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.