Mwana FA: Kwa Mkapa, Simba wamechangia TV na Fridge tu! Wasivimbe

 

Mwana FA: Kwa Mkapa, Simba wamechangia TV na fridge tu! Wasivimbe

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma maarufu kama Mwana FA amesema kuwa iwapo kuna timu inataka kutoa chochote kwa ajili ya kusaidia maboresho ya uwanja wa Mkapa, basi inakaribishwa.


Mwana FA amesema hayo leo wakati akizungumza kwenye kipindi cha Kipenga Extra, East Africa Radio.


"Katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa Simba wamechangia kwa kuweka TV mpya pamoja na Fridge mpya.


"Hivyo kwa wanaoona kwamba Simba Sports Club hawatakiwi kuvimba (Wanafaidi) basi na wao watafute kitu cha kuleta ili wote wawe sawa kwani milango ipo wazi," amesema Mwana FA.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad