Usajili wa Bangala, Fei Toto Bila Kombe ni Hasara Kubwa Kwa Timu ya Azam

 

Usajili wa Bangala, Fei Toto Bila Kombe ni Hasara Kubwa Kwa Timu ya Azam

Uwekezaji mkubwa uliofanywa na klabu ya Azam fc msimu huu katika usajili kuanzia wachezaji wa kigeni na wachezaji wa ndani ni usjili wenye gharama kubwa msimu huu kuliko klabu yeyote hapa Tanzania.


Kitendo cha kufanya usjili wa ndani kutoka katika klabu Yanga maanayake klabu ya Azam inatengeneza mazingira ya kutwaa ubingwa


Usjili ya Fei toto na Bangala unamaanisha klabu ya Azam ulikuwa ni usajili wa kuhitaji mataji kwakua hao wachezaji walikuwa nguzo ya Yanga katika mafanikio ya misimu iliyopita kufika fainali ya kombe la shirikisho na kubebwa ubingwa wa kombe la FA na mataji mawili ya ligi kuu Tanzania bara na Kombe la Ngao ya jamii.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.