Explosive Winga mwenye mikato ya wembe,mguu wake wa kushoto una kata zaidi ya kisu cha buchani,anajua muda wa kukimbia sana na muda wa kupooza ili ku-link up na wenzake.
Kwenye 1v1 ni kiyama kukabiriana nae,Ukisikia Ball dencer basi likumbuke jina la Selestine Ecua…..that dude is the pure footballer 🖐️
Hili ni Balaa jingine Tanzania 😄