Simba hawapoi, kukwea pipa jioni hii kuwafata Al Ahly

 

Simba hawapoi, kukwea pipa jioni hii kuwafata Al Ahly

Kikosi cha Simba SC kinatarajia kuondoka nchini jioni hii ya leo Oktoba 21, 2023 kuelekea nchini Misri kwa ajili ya kuvaana na Al Ahly.


Simba wanakwenda Misri kuvaana na Al Ahly baada ya kulazimishwa sare ya goli 2-2 kwenye mchezo wa robo fainali ya kwanza ya mashindano ya African Footbal League.


"Tunakwenda Misri sio kinyonge maana hakuna cha kututisha, tulicheza vizuri hapa nyumnani lakini matokeo yametusaliti lakini tunakwenda kule kumalizia kazi," alisema Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.