Manchester United vs West Ham |
WamefungwaTena...Hali ni Mbaya Manchester United, hivyo ndio tunavyoweza kusema, West ham wameshinda bao moja dhidi ya Man United 07 May 2023
Manchester United kwenye michezo mitano iliyopita wameshinda mchezo mmoja tu.
✅ vs. Nottingham Forest
❌ vs. Sevilla
🤝 vs. Spurs
❌ vs. Brighton
❌ vs. West Ham
Trouble on the road, hali ni mbaya sana😀