Mwenyekiti Simba Aomba Radhi Mashabiki

Published from Blogger Prime Android App

Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba SC, Salim Abdallah, amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo kwa kushindwa kutwaa taji lolote kwa msimu huu.

“Kwa niaba ya bodi ya wakurugenzi nachukua nafasi hii kuwaomba radhi wanasimba wote, hatukuwa na msimu mzuri sababu tumekosa mataji yote”

“Tumekuwa na changamoto ya majeruhi kikosini, wale tuliowaongeza wameshindwa kuonyesha ubora lakini ndio mpira tunajipanga kwa Msimu mpya” amesema Salim Abdallah

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.