Baada ya mchezo wa Simba dhidi ya Ruvu Shooting, kiungo mshambuliaji Clatous Chama ametoa Sababu za wao kukosa ubingwa kwa msimu wa pili mfululizo
"Ni vitu vidogo vidogo tu, kuna wakati ni wachezaji wenyewe lakini pia kuna wakati ni vitu vya nje ya uwanja"