Aliye wahi kuwa kocha wa simba, Sven Vandenbroeck ateuliwa kuwa kocha mkuu Wydad Casablanca

Sven Vandenbroeck


Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco imemteua aliyekuwa kocha wa Simba SC, FAR Rabat na timu ya Taifa Zambia SVEN VANDENBROECK kuwa kocha mkuu klabuni hapo kuchukua mikoba ya Juan Carlos Garrido aliyebwaga manyanga.


Sven (43) amesaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo mpaka mwisho wa msimu.


Wydad itamsainisha mkataba wa miaka miwili ikiwa atashinda kombe la ligi sambamba na kuwavusha Mabingwa hao watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwenda fainali mbele ya Mamelodi Sundowns.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.